slider1

United Republic of Tanzania remains committed in supporting United Nations mission to build a better world.

slider2

United Republic of Tanzania remains committed in participating on the maintenance of peace and security in Africa and other parts of the world.

slider2

United Republic of Tanzania remains committed in supporting United Nations mission on Reducing poverty, promoting prosperity and protecting the planet.

Message from the Permanent Representative

This is test post

I warmly welcome you to the official website of the Permanent Mission of the United Republic of Tanzania to the United Nations in New York.

The website provides you with information on our activities at the United Nations, and Who's Who at the Mission.

Tanzania's policy stands at the United Nations; here you will find statements and positions on a wide range of agenda items of the United Nations General Assembly, ECOSOC and the Security Council as well as other activities related to Tanzania's Accreditation to the United Nations.

Links to other useful websites, including links to the official website of the Government of the United Republic of Tanzania, which provides other useful links in Tanzania and our missions abroad. A link to the website of the United Nations is also provided.

I hope that you will find the information that you are looking for useful. If you have any questions, queries or suggestions, do not hesitate to contact us. We are here to help you.

Thank you for visiting our website.

Mr. Tuvako N. Manongi
Ambassador Extraordinary and Plenipotentiary
Permanent Representative
Permanent Mission of the United Republic of Tanzania to the United Nations

English News

Ban Ki Moon salutes president Kikwete

Kikwete_apongezwa_thumb
The following is a congratulatory message from Ban Ki Moon, Secretary General of the United Nations to H.E. Jakaya Mrisho Kikwete President of the United Republic of Tanzania on the occasion of the Union Day which was cerebrated of 26 April 2015. “You’re Excellency, I am Pleased to offer you and the Government and people of the United Republic of Tanzania my warmest congratulations on the occasion of the Union Day. This year marks the 70th anniversary of the United Natio...
More

Integrating crime prevention and criminal justice in the post 2015 development agenda to be held on 25 February 2015

Ambassador Tuvako Manongi speaking during a thematic debate
Madam Chair I would like to start by expressing my gratitude to H.E. Sam Kutesa, the President of the General Assembly, the Government of Qatar and Partners for supporting discussions that coincides with the ongoing intergovernmental negotiations on Post-2015 Development Agenda. I thank the key-note speakers and panellists for their thought provoking informative presentations and I would like to highlight the following few points; In our view, the nexus between crime prevention, criminal justice, rule of law and human rights and sustainable development is irrefutable. ...
More

UN Tanzania Chief condemns abduction and murder of child with albinism

Albinos in Tanzania
Mr. Alvaro Rodriguez - UN Resident Coordinator & UNDP Resident Representative Over the last two months, Tanzania has witnessed two abductions of young children in the Lake Zone. In December, the abduction of a child with albinism, Pendo, left the country in shock. Despite the government’s efforts, Pendo has not been found. Now we have just witnessed the abduction and murder of a one year old, Yohana Bahati, which happened in Chato District in Geita Region on February 15. The UN is deeply concerned by the abductions and brutal attacks on these two young children. These attacks, w...
More

Deputy Secretary-General’s remarks at High-Level Thematic Debate on means of implementation for a transformative post-2015 development agenda

I thank the President of the General Assembly for convening this important debate, where I am honoured to represent the Secretary-General. This is a crucial year for global action to secure a sustainable future for all. There are high expectations that the United Nations and its Member States will be a catalyst for setting the direction for transformative change. Three major milestones mark the calendar in 2015 – the Third International Conference on Financing for Development in Addis Ababa, in July; the post-2015 Summit in New York, in September; and COP 21 in Paris, in December. These ...
More

Swahili News

Tanzania na Ecuador zaanzisha uhusiano wa kidplomasia

tanzania_ecuador1_thumb
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Ecuador zimekubaliana kuanzisha uhusiano wa kudiplomasia katika ngazi ya Mabalozi. Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi, na Mwakilishi wa Kudumu wa Ecuador katika Umoja wa Mataifa Balozi Xavier Mendoza ndio waliotia sahihi hati za kuanzishwa kwa uhusiano huo kwa niaba ya serikali zao katika hafla fupi iliyofanyika siku ya jumanne. Ecuador inakuwa nchi ya pili baada ya Malta ambayo wiki iliyopita nayo ilianzisha uhusiano wa kidiplomasi...
More

Matukio mbalimbali – Tanzania Umoja wa Mataifa

event1_pic2_thumb
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Malta zimekubaliana kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Malta zimekubaliana kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia baina yao. Wawakilishi wa Kudumu wa mataifa hayo mawili katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi wa Tanzania na Christopher Grima wa Malta ndio waliotia sahihi hati za kuridhia kuanzishwa kwa uhusiano huo na ambao utakuwa katika ngazi ya Mabalozi. Wakizungumza mara baada ya utiaji sahihi ...
More

Umoja wa mataifa wa waenzi walinda amani wake

tz_unmission_amani1_thumb
Mashujaa Private Ally Salum Jumanne, Private Mohamed John Mbizi, Private Vasco Adrian Msigala na Sajent Hamis Juma Nyange kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania ( JWTZ) ni miongoni mwa mashujaa 126 ambao siku ya Ijumaa, Umoja wa Mataifa uliwatunuku medali ya Dag Hammarskjold. Ijumaa ya Mei 29 ya kila mwaka Umoja wa Mataifa umeitenga kama siku maalum ya kutambua na kuenzi mchango wa walinda Amani ambao wamepoteza maisha wakati wakitekeleza majukumu ya ulinzi wa Amani kupitia operesheni za Umoja wa Mataifa. Katika adhimisho hilo na ambalo lilihudhuriwa na ...
More

Tanzania katika umoja wa mataifa wiki hii

tanzania_un_pic_thumb
Umoja wa Mataifa wiki hii, umekamilisha mikutano muhimu miwili kati ya mingi, ambapo ujumbe wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ulioshiriki majadiliano ya mikutano hiyo waliiwakilisha vema nchi yao. Moja ya mikutano hiyo ni ule wa marejeo ya Mkataba wa kuzuia usambaaji na uzalishaji wa silaha za nyukilia, matumizi yake, ikiwa ni pamoja na silaha nyingine za maangamizi ( NPT), Mkutano huu ambao umefanyika kwa mwezi mzima, ukitawaliwa na majadiliano makali juu ya mada mbalimbali muhimu zinazohusiana na marejeo ya mkataba huo. Bado hadi si...
More

Ban Ki Moon atiwa moyo na mazungumzo ya kisiasa kuhusu Burundi

Portrait of SG
Wakati hali ya kisiasa na kiusalama ikiendelea kuwa ya sintofahamu Nchini Burundi, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon, ameelezea kutiwa moyo na juhudi mbambali zinazolenga kurejesha hali ya amani na usalama nchi humo. Taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Katibu Mkuu, siku ya Ijumaa hapa Umoja wa Mataifa, imesema, katibu Mkuu anatiwa moyo na juhudi zinazofanywa na makundi mbalimbali ya kikanda, ya kidini, ya kijamii, vyama vya siasa pamoja na Mwakilishi Wake Maalum katika Eneo la Maziwa Makuu katika kuhakikisha kwamba mgogoro na sitofahamu iliyoikumba...
More

Hakuna maendeleo bila nishati ya uhakika – Mhe. Kitwanga

nishati_meeting_photo1_thumb
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaamini kwamba, utekelezaji wa mipango na malengo ya mbalimbali ya maendeleo hayataweza kupatika au kufikiwa kwa haraka pasi na uwepo wa nishati endelevu na kwa wote. Ni kutokana na kulitambua hilo, Tanzania imejikita kikamilifu katika kukuza uwezeshaji wa matumizi ya teknolojia za kisasa na mbinu za kuongeza upatikanaji wa huduma za kisasa za nishati ikiwa ni pamoja na kuongeza maradufu kiwango cha uboreshaji na ufanisi wa nishati mbadala ili kuchagiza maendeleo. Hayo yameelezwa siku ya Al...
More

Mawaziri wa nishati wajadili nishati endelevu kwa wote

nishati_meeting_thumb44
Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Mhe.Charles Kitwanga ( Mb), ni miongoni mwa mawaziri kutoka mataifa mbalimbali duniani wanaohudhuria mkutano wa kila mwaka kuhusu Nishati Endelevu kwa Wote (SE4All) Mkutano huu unafanyika hapa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa, ambao siku ya jumatano mawaziri wameanza kujadili na kubadilisha uzefu kuhusu eneo hilo la nishati ambalo linaelezwa kuwa ni muhimu kwa maendeleo endelevu kijamii, kiuchumi na mazingira. Mhe. Kitwanga ambaye anatarajiwa kuelezea msimamo wa...
More

Changamoto na athari zitokanazo na dawa za kulevya kujadiliwa 2016

Balozi Tuvako Manongi akizungumza wakati wa mkutano wa maandalizi wa mkutano maalum utakaofanyika mwakani kuhusu changamoto na athari zitokanazo na biashara haramu na matumizi ya dawa za kulevya
Jumuiya ya Kimataifa inajiaanda kwa mkutano maalum na wa aina yake kufanyika, ambapo nchi wanachama watakutana na kujadiliana kwa kina kuhusu changamoto na adhari kubwa zitokanazo na biashara haramu na matumizi ya dawa za kulevya. Mapema wiki iliyopita, wajumbe wanaoziwakilisha nchi zao hapa Umoja wa Mataifa, walikuwa na mkutano wa siku moja ambao ulikuwa ni sehemu ya maandalizi ya mkutano huo maalum utakaofanyika mwezi Aprili 2016. Mkutano huo wa maandalizi uliofanyika hapa Umoja wa Mataifa na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wakiwamo ma...
More

Ban Ki Moon awageukia viongozi wa madhehebu ya dini – Awasihi kukuza na kuenzi kuvumiliana, maridhiano na majadiliano

Viongozi wa Madhehebu mbalimbali ya Dini
Kufuatia ongezeko la makundi ya dini yenye itikadi , matukio ya kigaidi, kukosekana kuvumiliana na maridhiano, Katibu Mkuu wa wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon, amewageukia viongozi wa madhebu ya mbalimbali dini duniani akiomba busara zao na uongozi wao. Amesema, busara na uongozi wa madhehebu hayo ya dini unahitajika sana katika kuhubiri na kueneza kuvumiliana, maridhiano, stahimili, kuheshimiana na kujenga utamaduni wa kuzungumza miongoni wa jamii bila ya kujali dini zao au rangi zao. Ban Ki Moon ametoa wito huo siku ya Jumatano hap...
More

Brigedia Jenerali Sara Thomas Rwambali ateuliwa kuwa mwakilishi maalumu wa AU Sudan ya Kusini

SARA THOMAS RWAMBALI
Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika, Dr. Nkosanzana Dlamini Zuma, amemteua, Brigedia Jenerali Sara Thomas Rwambali kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania ( JWTZ),kuwa Mwakilishi Maalum na Mkuu wa Ofisi ya Umoja wa Afrika Sudan ya Kusini. Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na AU na nakala yake kutumwa Uwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, inaeleza kwamba makazi ya Brigedia Jenerali Sara Thomas Rwambali yatakuwa Juba. Pamoja na uteuzi wa Brigedia Jenerali Sara Rwambali, Dr. Nkosazana Dlamini ...
More